Eapcco Swahili
Hotuba ya mwenyekiti kuhusu tukio la uzinduzi wa tovuti ya EAPCCO
Hotuba ya mwenyekiti kuhusu tukio la uzinduzi wa tovuti ya EAPCCO
Mkutano wa mseto, Oktoba 2021
Mabibi na Mabwana,
Wapendwa wajumbe, baada ya miezi kadhaa ya kufanya kazi kwa bidii na kujitolea, ninayo furaha kubwa kutangaza rasmi uzinduzi wa tovuti yetu. Uzinduzi huu ni ushuhuda kwamba EAPCCO iko hai na yenye nguvu nyingi. Historia ya hafla ya leo inaanzia wakati wa michezo ya EAPCCO mwaka 2020 katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo pendekezo lilitolewa kuhusu kuwa na tovuti. Pendekezo hilo lilitekelezwa Juni 2020 kupitia ufadhili wa EAPCCO na mnamo Septemba 2021 UNODC ilikuja na kuunga mkono kwa ukarimu kuiboresha ili kufikia lugha rasmi za kienyeji yaani Kiarabu, Kiingereza, Kifaransa na Kiswahili.
Uzinduzi huu unakuja wakati dunia inakumbana na maendeleo makubwa ya kiteknolojia ambayo hayajawahi kushuhudiwa. Kwa sababu hii, nchi ambazo ni wanachama wa EAPCCO hazijaachwa nyuma na zimekuja na suluhisho la pamoja kupitia tovuti inayowajali raia, inayozingatia mwingiliano chanya wa utekelezaji wa sheria. Sababu ya uzinduzi huu leo ni kuruhusu jumuiya ya kimataifa, washirika wetu na wadau kujua kuwa tupo, madhumuni yetu, kile tunachosimamia, historia yetu, tunachokithamini, kanuni zetu za maadili, muundo wetu wa shirika, shughuli zetu, mafanikio na maono tuliyonayo kufikia eneo salama zaidi la EAPCCO.
Tovuti iliyoboreshwa na huduma ya kibinafsi itafanya ushiriki wa habari kuwa rahisi na itaunda jukwaa ambapo raia wanaweza kupata viambatanishi rahisi vya mikutano, ajenda, karatasi za utafiti, machapisho, rekodi za video, kupata habari kuhusu mikutano ya zamani, mwingiliano wa mitandao ya kijamii, hafla zinazotiririshwa moja kwa moja na picha ya matukio ya zamani. Tovuti itatoa jukwaa la maoni kwa ushirikiano wa raia ili kuboresha matumizi ya mtumiaji. Hii itasaidia sana katika kujenga imani na kuonyesha kujitolea. Pia itatoa njia rahisi ya kuunganishwa na umma kupitia matangazo. Kwa maafisa wa kutekeleza sheria, tovuti itatoa moduli za mafunzo kupitia njia ya mtandao itakayoboresha na kujenga uwezo.
Ninakualika uunde viambatanishi vya WWW.EAPCCO.ORG katika tovuti zako na ushiriki makala, blogi, majarida, matangazo na mafanikio ya uendeshaji katika sehemu ya Habari ya tovuti yetu.
Tunatumai utapata wavuti kuwa muhimu, thabiti, inayoboreka kila wakati na rahisi kufikia kutoka sehemu yoyote ya ulimwengu.
Napenda kuhitimisha kwa nukuu kutoka kwa mwanzilishi wa Microsoft, Bw. Bill gate kwamba ” Mtandao umekuwa uwanja wa kijiji cha kimataifa cha kesho ”
Sasa ninawaalika nyote kututembelea katika WWW.EAPCCO.ORG
Kwa maneno haya machache, mabibi na mabwana, sasa ni jukumu langu la kipekee kutangaza uzinduzi rasmi wa Tovuti ya EAPCCO!
Asante!
Ujumbe Kutoka Kwa Kiongozi Wa Ofisi Ya Kikanda Na Mkuu Mtendaji Wa Ofisi Ya Eapcco
EAPCCO ni shirika la kikanda la kutekeleza sheria lililo makini kuambatanisha huduma ya kitaifa ya polisi katika kikanda cha Afrika Mashariki na lenye lengo la kukabiliana na uhalifu wakupangwa wa kimataifa. Katika ulimwengu wetu wa utandawazi, ushirikiano wa polisi ni jambo la uhitaji na wala si la chaguo. Ijapokuwa katika ngazi ya ulimwengu, mashirika ya polisi yanashirikiana kupitia INTERPOL na katika ngazi ya bara kupitia AFRIPOL, kuna uhitaji mkubwa wa kutengeneza mifumo ya ushirikiano katika ngazi ya kikanda ili kushughulikia adhabu dhidi ya uhalifu wa kimataifa na hata pia uhalifu unaohusisha kuvuka mipaka ya kikanda pekee na hili ndilo jukumu linalotekelezwa na EAPCCO.
Kwa zaidi ya miongo miwili ya kuwepo kwake, EAPCCO imekuwa katika mstari wa mbele katika kukuza ushirikiano kati ya nchi ambazo ni wanachama kupitia usambazaji wa habari, maazimio ya wakuu wa polisi, mafunzo na operesheni za pamoja, huku ikilenga uhalifu wa kama vile ughaidi, ulanguzi wa dawa za kulevya, ueneaji wa silaha ndogo ndogo; uhalifu wa kimazingira; usafirishaji haramu wa binadamu na magendo ya binadamu; biashara ya vitu bandia; uhalifu wa mtandaoni na utapeli wa pesa na mwengineo. Shirika hili, kupitia baraza la wakuu wa polisi, kamati ya kuratibu ya kudumu na vitengo vyengine visaidizi (vya kimafunzo, kisheria, dhidi ya ughaidi na vya kijinsia) limeendelea kusaidia ushirikiano wa kikanda. Mafanikio haya hata hivyo yasingefikiwa bila ya usaidizi thabiti wa viongozi wa kisiasa na washirika wetu tunaowathamini.
Jukwaa hili la kidijitali ni kama njia ya kusambaza na kuonyesha mafanikio ya shughuli na mipango ya EAPCCO na pia kupata usaidizi wa umma katika mapambano dhidi ya uhalifu wa kimataifa wakupangwa.
Karibu!
MKUTANO WA UKAGUZI WA OPERESHENI USALAMA VII
HOTELI YA SERENA DAR ES SALAAM – TANZANIA 25-27 Oktoba 2021
Msimbo wa Operesheni unaoitwa USALAMA ulianzishwa katika kikanda cha EAPCCO na SARPCCO mnamo mwaka wa 2013. Kufuatia matokeo bora yaliyopatikana katika operesheni zilizopita, na haja ya kudumisha mwendelezo na uendelevu, wakuu wa Polisi kutoka kanda zote mbili waliazimia kuwa operesheni hiyo ifanyike kila mwaka. .Since then, the operation has been conducted consistently with the exception of the year 2020, due to the prevailing global COVID-19 pandemic.
Tangu wakati huo, operesheni hiyo imekuwa ikifanywa mara kwa mara isipokuwa mwaka wa 2020, kwa sababu ya janga la kimataifa la COVID-19.
Mkutano huo ulifunguliwa rasmi na Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Jeshi la Polisi Tanzania, Bw Camillus WAMBURA. Katika maelezo yake, alibainisha kuwa mkutano huo ulikuwa ni fursa nzuri kwa Nchi zilizo Wanachama kubadilishana uzoefu, changamoto na utendaji kazi mzuri uliobainika katika Operesheni USALAMA VII kwa lengo la kuongeza ufanisi katika kupambana na uhalifu wa kupangwa wa kimataifa (TOC) na kuboresha. usalama ndani ya kikanda. Alisisitiza haja ya kushirikisha mashirika mengine ya kikanda kama vile CAPCCO katika uendeshaji wa mfululizo wa operesheni USALAMA ili kuimarisha ushirikiano wake. Aliwataka wajumbe kujadili kwa umakini vipengele vya Ajenda na kuja na Mapendekezo yatakayoboresha utendaji kazi siku zijazo.
Katika matamshi yake mwakilishi wa UNODC ROEA, Bw. Julius LEMAKO alibainisha ongezeko la tishio la TOCs na ugaidi katika kanda hizo mbili na hivyo kusisitiza haja ya kuimarishwa kwa ushirikiano. Alithibitisha kujitolea kwa UNODC kwa msaada wa Serikali ya Ujerumani kuendelea kufanya kazi na kuunga mkono EAPCCO, na mipango yao katika mapambano dhidi ya TOCs na ugaidi.
Waliohudhuria walikuwa Wakuu wawili wa Ofisi wa kikanda cha INTERPOL Harare na Nairobi. Katika hotuba yake ya ufunguzi, Mkuu wa INTERPOL RB Harare Bw Mubita NAWA alieleza baadhi ya mafanikio yaliyopatikana wakati wa operesheni USALAMA VII. Alisisitiza uhitaji wa matumizi ya juu zaidi ya Uwezo wa Kipolisi wa INTERPOL ili kuimarisha shughuli zetu.
Wajumbe hao walisherehekea mafanikio makubwa ya kukamatwa kwa dawa za kulevya, Silaha ndogo ndogo, mabomu, magari yaliyoibiwa, madini na nyaya. Zaidi ya hayo, wahalifu wanaofanya uhalifu huo ikiwa ni pamoja na magendo ya binadamu, bidhaa haramu na dawa bandia, wizi wa mali na matapeli wa benki walikamatwa na wanasubiri, haki ipatikane, hata kama kwa muda.
MKUTANO WA 21 WA MAWAZIRI WANAOHUSIKA NA MASUALA YA POLISI KATIKA NCHI ZA EAPCCO
Mawaziri wanaohusika na Masuala ya Polisi katika eneo la Afrika Mashariki walifanya Mkutano wao wa 21 wa Mseto tarehe 15 Oktoba 2021 katika Hoteli ya Fleuve Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kupitia jukwaa la KUDO.
Mkutano huo ulihudhuriwa na Mawaziri/Wawakilishi kutoka nchi zifuatazo ambazo ni wanachama wa EAPCCO; Burundi, Komoro, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Eritrea, Ethiopia, Kenya, Rwanda, Ushelisheli, Somalia, Sudan Kusini, Sudan, Tanzania na Uganda.
Waliohudhuria pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Huduma za Polisi, INTERPOL Bw. Stephen KAVANAGH, Wakuu wa Ofisi za Kikanda cha INTERPOL Nairobi na Yaoundé na Mkuu wa Dawati la Uratibu la NCBs kwa Afrika.
Mawaziri hao walishukuru nchi ambazo ni wanachama wa EAPCCO kwa juhudi zao za kupambana na Ugaidi na Uhalifu wa kupangwa wa Kimataifa kupitia ushirikiano ulioimarishwa
Aidha Mawaziri hao walitambua uongozi wa busara uliotokana na mwenyekiti aliyemaliza muda wake Bwana Simon SIRRO katika kipindi chake cha uenyekiti wa EAPCCO ambao umeshuhudia kikanda kufurahia amani na utulivu kwa muda wa miaka miwili iliyopita. Aidha walimpongeza mwenyekiti anayekuja kwa kujitolea kufanya kazi bila kuchoka ili kufikia majukumu ya EAPCCO.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania, Khamis Hamza CHILO kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Mheshimiwa George SIMBACHAWENE (MP) alitoa shukurani zake kwa Serikali na wananchi wa DRC kwa mapokezi mazuri aliyopewa. Alitoa shukrani zake za dhati kwa familia nzima ya EAPCCO, Katibu Mkuu wa INTERPOL na washirika walioshirikiana, kwa usaidizi wao bila kuchoka katika kipindi chake cha uongozi. Pamoja na kubainisha vitisho vinavyokabili kikanda hicho ikiwa ni pamoja na ugaidi na shuhuli za uhalifu wa mtandao, alitilia mkazo haja ya kuwahamasisha Maafisa wa Utekelezaji wa Sheria kuhusu Mkataba wa Makubaliano kati ya Kikanda cha CAPCCO na EAPCCO unaolenga kuimarisha ushirikiano katika mapambano dhidi ya TOC na kukandamiza kuenea kwa silaha haramu katika kanda hizo mbili. Alihakikisha atamuunga mkono mwenyekiti anayeingia.
Katika hotuba yake ya kukubali, mwenyekiti anayeingia wa Baraza la Mawaziri, Mheshimiwa Daniel ASELO OKITO WA KOY, Makamu wa Waziri Mkuu wa Mambo ya Ndani, Ugatuzi na Masuala ya Kimila, DRC amelishukuru Baraza la Mawaziri kwa heshima na fursa waliyompa alipochukua madaraka yake kama Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri. Alihusisha heshima hiyo na imani ambayo eneo hilo liko nayo kwa nchi ya DRC na mkuu wake wa nchi kama Pan Africanist. Alihakikishia Baraza la Mawaziri kwamba EAPCCO itajitahidi kubuni mikakati madhubuti inayolenga kukabiliana na Uhalifu wa Kuvuka mipaka na Uhalifu uliopangwa wa Kimataifa. Alikubali ombi la kuwa mwenyekiti kutoka kwa mwenyekiti anayemaliza muda wake.
Bw. Stephen KAVANAGH, Mkurugenzi Mtendaji kwa Huduma za Polisi wa INTERPOL, katika matamshi yake alielezea furaha yake kubwa kujiunga na Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa 21. Alithibitisha kuwa mada ya Mkutano Mkuu wa 23 wa EAPCCO yanaonyesha matumaini ya pamoja ya kurejea taratibu katika mazingira ya kawaida ya kufanyia kazi tangu kuanza kwa janga la kimataifa la Covid-19. Katika mkutano huo, alishukuru ushiriki wa waheshimiwa mawaziri kutoka kikanda cha EAPCCO, huku akibainisha kuwa kushiriki kwao kunaonyesha dhamira yao ya kujitolea kwa ushirikiano wa utekelezaji wa sheria wa kimataifa. Alisisitiza haja ya nchi ambazo ni wanachama kutumia zana na uwezo wa INTERPOL kusaidia kubadilishana taarifa, kutambua vitisho kwa ufanisi zaidi na kuwafikisha wahalifu mahakamani.
Sherehe za ufunguzi wa mkutano wa 21 wa Baraza la Mawaziri wa EAPCCO zilihudhuriwa na Waziri Mkuu na Mkuu wa Serikali Mhe. Jean-Michel Sama LUKONDE. Kwa niaba ya rais wa Jamhuri ya DRC, Mheshimiwa, Mkuu wa Nchi, Felix Antonie Tshisekedi TSHILOMBO aliwakaribisha wajumbe wote wa Kinshasa. Alishukuru mipango ambayo Rais wa Jamhuri ya DRC ameendelea kutekeleza kwa ushawishi wa jumla katika bara la Afrika katika nafasi yake kama rais wa Umoja wa Afrika. Alisisitiza umuhimu wa mashirika ya kikanda kidogo katika mapambano dhidi ya TOCs. Alitoa wito kwa nchi ambazo ni wanachama kuendeleza ushirikiano na kujenga uwezo wa maafisa wa utekelezaji wa sheria, daima kutoa taarifa na kufanya uchunguzi unaostahili kwa watuhumiwa. Aliwahakikishia wajumbe kuwa DRC iko wazi kwa ushirikiano na washirika tofauti unaojenga.
Mkutano huo ulishuhudia mabadiliko ya uenyekiti kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Mawaziri hao waliipongeza Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa kufanikiwa kusimamia Mkutano Mkuu wa kila mwaka wa 23 wa mseto wa EAPCCO licha ya changamoto zilizopo zinazosababishwa na janga la COVID-19.
Baraza la Mawaziri lilizingatia ombi la Jamhuri ya Kenya na Sudan la kuunga mkono kuteuliwa kwa wateule wao kuwa wajumbe wa Afrika wa Kamati Tendaji ya INTERPOL. Walihimiza nchi ambazo ni wanachama kuwapa msaada unaofaa.
Mwenyekiti wa EAPCCO, Kamishna Jenerali wa Polisi wa Kitaifa wa Kongo, Bw. Dieudonné AMULI BAHIGWA alitoa taarifa kwa Mawaziri kuhusu matokeo ya Baraza la 23 la Wakuu wa Polisi lililoandaliwa chini ya kaulimbiu, ”Kuimarisha Mikakati ya Utekelezaji wa Sheria katika Kupambana na Uhalifu wa Kupangwa wa Kimataifa wakati huu wa COVID-19 na Zaidi’ ‘Masuala yaliyojadiliwa ni pamoja na: kupitishwa na kutia sahihi hati za kisheria za EAPCCO (itifaki ya Mifugo, makubaliano ya EAPCCO/CAPCCO, na makubaliano ya uanzishaji wa EAPCCO CTCoE), shughuli za nchi katika kikanda, kuidhinishwa kwa Chuo cha Polisi Wanamaji – Mwanza kuwa Kituo cha Ubora cha EAPCCO katika mafunzo ya Polisi wa Baharini, uanzishaji wa seli ya pamoja ya taarifa chini ya EAPCCO CTCoE, michango kwa Akaunti za EAPCCO na kuimarishwa kwa ushirikiano na INTERPOL na washirika wengine wanaoshirikiana.
Baraza la Mawaziri lilikubali maamuzi ya Baraza la Wakuu wa Polisi na kupitisha maazimio ya Mkutano Mkuu wa 23 wa Mwaka wa EAPCCO na kuzingatia yafuatayo;
Baraza la Mawaziri lilizingatia kuendelea kwa shughuli za nchi ambazo ni wanachama licha ya changamoto zilizoletwa na mabadiliko ya COVID-19. Waliona kwamba wahalifu wanaendelea kuendeleza shughuli zao za uhalifu licha ya hali zilizopo. Walitoa wito kwa vyombo vya usalama kuendelea kuwa macho na kuimarisha ushirikiano ili kuimarisha vita dhidi ya uhalifu unaojitokeza.
Baraza la Mawaziri lilizingatia shughuli za pamoja zinazofanywa na nchi ambazo ni wanachama kwa msaada wa INTERPOL na washirika wengine wanaoshirikiana ili kuimarisha uwezo wa maafisa wa Utekelezaji wa Sheria katika kikanda ili kukabiliana na Uhalifu wa kupangwa wa Kimataifa. Walipongeza nchi ambazo ni wanachama na washirika wanaoshirikiana kwa juhudi zao katika kutekeleza maazimio ya mkutano wa 22 wa Baraza la Wakuu wa Polisi wa EAPCCO.
Baraza la mawaziri lilizingatia haja ya kuwa na Vituo vya Ubora vya EAPCCO vinavyofanya kazi na kwa hivyo kutoa wito kwa nchi zinazovisimamia na ofisi ya EAPCCO kutafuta uungwaji mkono kutoka kwa washirika wanaoshirikiana. Aidha walikaribisha maamuzi ya Chuo cha Polisi cha Wanamaji Mwanza nchini Tanzania kupandishwa daraja hadi Kituo cha Ubora cha EAPCCO katika Mafunzo ya Polisi wa baharini. Walizitaka nchi wanachama kuliunga mkono Jeshi la Polisi Tanzania ili kuhakikisha kituo hicho kinafanya kazi.
Baraza la Mawaziri lilizingatia haja ya kupitiwa upya kwa Itifaki ya Mifugo ya EAPCCO ya 2008, makubaliano ya kuanzisha EAPCCO CTCoE pamoja na kutiwa sahihi kwa makubaliano ya ushirikiano wa EAPCCO/CAPCCO. Walithamini maendeleo yaliyopatikana hadi sasa na kuwatia moyo Mawaziri wa EAPCCO ambao bado hawajatia saini kufanya hivyo.
Baraza la Mawaziri lilisisitiza haja ya nchi ambazo ni wanachama kuimarisha upashanaji wa taarifa zinazohusiana na uhalifu ili kuimarisha mapambano dhidi ya TOCs. Alihimiza nchi kuongeza matumizi ya Uwezo wa Kipolisi wa INTERPOL ili kuwezesha mchakato huo.
Mkutano huo ulimalizika kwa pongezi kwa watendaji mbalimbali kwa msaada wao na mchango wao katika masuala ya usalama mkoani humo.
UJUMBE KUTOKA KWA KIONGOZI WA OFISI YA KIKANDA NA MKUU MTENDAJI WA OFISI YA EAPCCO
EAPCCO ni shirika la kikanda la kutekeleza sheria lililo makini kuambatanisha huduma ya kitaifa ya polisi katika kikanda cha Afrika Mashariki na lenye lengo la kukabiliana na uhalifu wakupangwa wa kimataifa. Katika ulimwengu wetu wa utandawazi, ushirikiano wa polisi ni jambo la uhitaji na wala si la chaguo. Ijapokuwa katika ngazi ya ulimwengu, mashirika ya polisi yanashirikiana kupitia INTERPOL na katika ngazi ya bara kupitia AFRIPOL, kuna uhitaji mkubwa wa kutengeneza mifumo ya ushirikiano katika ngazi ya kikanda ili kushughulikia adhabu dhidi ya uhalifu wa kimataifa na hata pia uhalifu unaohusisha kuvuka mipaka ya kikanda pekee na hili ndilo jukumu linalotekelezwa na EAPCCO.
Kwa zaidi ya miongo miwili ya kuwepo kwake, EAPCCO imekuwa katika mstari wa mbele katika kukuza ushirikiano kati ya nchi ambazo ni wanachama kupitia usambazaji wa habari, maazimio ya wakuu wa polisi, mafunzo na operesheni za pamoja, huku ikilenga uhalifu wa kama vile ughaidi, ulanguzi wa dawa za kulevya, ueneaji wa silaha ndogo ndogo; uhalifu wa kimazingira; usafirishaji haramu wa binadamu na magendo ya binadamu; biashara ya vitu bandia; uhalifu wa mtandaoni na utapeli wa pesa na mwengineo. Shirika hili, kupitia baraza la wakuu wa polisi, kamati ya kuratibu ya kudumu na vitengo vyengine visaidizi (vya kimafunzo, kisheria, dhidi ya ughaidi na vya kijinsia) limeendelea kusaidia ushirikiano wa kikanda. Mafanikio haya hata hivyo yasingefikiwa bila ya usaidizi thabiti wa viongozi wa kisiasa na washirika wetu tunaowathamini.
Jukwaa hili la kidijitali ni kama njia ya kusambaza na kuonyesha mafanikio ya shughuli na mipango ya EAPCCO na pia kupata usaidizi wa umma katika mapambano dhidi ya uhalifu wa kimataifa wakupangwa.
Karibu!
Usafirishaji haramu wa binadamu: Mkuu wa UN anatoa wito wa watu kuchukuwa hatua kwani COVID imewafanya ‘mamilioni ya watu’ kuwa katika hali ya hatari
Kuonyesha jinsi janga la COVID lilivyosukuma watu wengi kama milioni 124 zaidi kwa umaskini uliokithiri, mkuu wa UN alisisitiza kwamba “mamilioni ya watu” wameachwa katika hali ya hatari ya janga hili.
Nusu ya wahasiriwa kutoka kwa nchi zenye kipato cha chini ni watoto, kama alivyosema Bw. Guterres, kabla ya Siku ya kukumbuka vita Dhidi ya Usafirishaji haramu wa binadamu Duniani, akiongezea kwamba wengi wanasafirishwa kwa ajili ya kufanya kazi za kulazimishwa.
“Wahalifu pande zote wanatumia teknolojia kuwatambua, dhibiti na kuwadhulumu watu dhaifu,” mkuu wa UN alisema, akiongezea kwamba watoto wanaendelea kulengwa kupitia majukwaa ya mtandaoni kwa ajili ya dhulma za kimapenzi, ndoa za lazima na unyanyasaji wa aina nyengine.
KENYA KWENYE RADA YA FBI KWA SABABU YA UHALIFU WA MTANDAONI ULIOKITHIRI
Kenya iko kwenye rada ya ofisi ya upelelezi ya shirikisho ya Marekani [US Federal Bureau of Investigation (FBI)] kama chanzo cha utapeli na kunakotumwa pesa zinazopatikana kutokana na wizi wa kifedha wa mtandaoni.
Repoti mpya ya Interpol iliyotolewa Agosti 14 kuhusu uhalifu wakupangwa wa mtandaoni Afrika ambayo ilionyesha jinsi kufanya mambo kidijitali kunawarahisishia wahalifu, na Interpol imeijumuisha Kenya kati ya nchi ambamo uhalifu wakupangwa wa kimataifa unatekelezwa.
WATAALAMU WANAKAGUA ITIFAKI KUHUSU WIZI WA NG’OMBE
Tarehe 24 Februari 2021, kamati ya kisheria ya EAPCCO ilifanya warsha kupitia mtandaoni kujadili kuhusu itifaki ya Mifugo iliyotiwa sahihi mnamo 2008. Itifaki hii inahusu kuzuia, kupambana na kumaliza wizi wa ng’ombe Afrika Mashariki.
Warsha ilipangwa na ofisi ya EAPCCO na mradi wa ISS-Enact na ilihudhuriwa na wajumbe kutoka Comoro, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Eritrea, Kenya, Rwanda, Sudan na Tanzania
Warsha hii ilileta mapendekezo kwa wakurugenzi wa upelelezi kuhusu mabadiliko yaliyopendekezwa kwa itifaki hiyo na walipendekeza mfumo thabiti wa kutekeleza utakaopitishwa na wakuu wa polisi.
Bodi ya wakurugenzi ya upelelezi wa uhalifu inapokea vifaa vya kupigana dhidi ya usafirishaji haramu wa binadamu ya Kenya
Nairobi (Kenya), Disemba 14 – Twashukuru kwa ufadhili kutoka kwa Wizara ya Shirikisho ya Ujerumani ya Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo [German Federal Ministry for Economic Cooperation and Development (BMZ)] na ufadhili kwa Afrika wa dharura wa Umoja wa Uropa [European Union (EU) Emergency Trust Fund for Africa (EUTF)], UNODC hivi majuzi ilipeana magari matano, jenereta moja na vifaa vingine, ikiwa ni pamoja na vifaa vya uchunguzi wa kiteknolojia vya kidijitali, kwa kitengo dhidi ya usafirishaji haramu wa binadamu na ulinzi wa watoto [Anti-Human Trafficking & Child Protection unit (AHTCPU)] cha bodi ya wakurugenzi wa upelelezi wa uhalifu ya Kenya [Kenya Directorate of Criminal Investigations (DCI)]
Kila mwaka, Kenya iko na maelfu wa watu wakiume, wake na watoto wanaokuwa wahasiriwa wa makundi ya usafirishaji haramu wa binadamu na mashirika ya uhamiaji wa kimagendo, na wanapitia ukatili, dhulma za kimapenzi, hali za kufanya kazi kama watumwa na unyanyasaji mwengine, na hii inafanya kuwe na umuhimu wa kuhakikisha kwamba vitengo dhidi ya usafirishaji haramu wa binadamu viko na uwezo wa kushughulikia changamoto za usafirishaji haramu wa watu [Trafficking in Persons (TIP)]na uhamiaji wa kimagendo [Smuggling of Migrants (SOM)].